M mbingunikwetu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 13,897 Reaction score 18,477 Sep 21, 2021 #1 Hao ndio mabingwa wa kihistoria almaarufu kama timu ya wananchi toka Jamhuri ya UTOPOLO!! Mwaka huu wamestahili kabisa kushiriki caf champions league na wamefika mbali sana hadi NIGERIA!! Kwa kweli wameitendea haki nafasi waliyoipata kwa mbeleko!!
Hao ndio mabingwa wa kihistoria almaarufu kama timu ya wananchi toka Jamhuri ya UTOPOLO!! Mwaka huu wamestahili kabisa kushiriki caf champions league na wamefika mbali sana hadi NIGERIA!! Kwa kweli wameitendea haki nafasi waliyoipata kwa mbeleko!!
Che mittoga JF-Expert Member Joined Mar 28, 2017 Posts 12,658 Reaction score 16,205 Sep 21, 2021 #2 Hao ndio. The Return of Champions