Tuliwahi sana kudai Uhuru tulitakiwa kungoja hadi 1990

Tuliwahi sana kudai Uhuru tulitakiwa kungoja hadi 1990

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Nyerere aliwahi sana kudai Uhuru kwani kulifanya hata maendeleo yeto kudumaa,Hapakuwepo na sababu ya kudai uhuru miaka ya 1961 kwani mpaka leo tunaonekana ndo tumedai uhuru juzi maana tunaona nchi zote ambazo tulizozisaidia zote zimeishatupita!Hata Sudan ya kusini itatupita tusubiri.
 
Wakoloni wangetutawala hadi muda huo tungekuwa na maendeleo kuliko sasa, magamba noma!..
 
Marais wa nchi za africa ni wasimamiz tu wa makolon na rasilimali za wazungu afrca.carl peters aliua kila kitu.
 
South africa ilipata uhuru mwaka 1994? Na mandela ndio akawa rais?
Mbona south africa tumeipita sasa,kwa sababu ukiangalia GDP growth yetu inakuwa kwa asilimia kubwa kuliko south africa.
 
Back
Top Bottom