Elections 2010 Tuliwezaje kuishi miaka mitano bila rais?

Paddy

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2010
Posts
473
Reaction score
341
Wale mliosikiliza Clouds FM leo mtakubaliana na mimi moja kwa moja. Kwa wengine someni hizi facts;
1. Hajawahi kuonyesha presidential power ya kumtisha mtu
2. Hamna alichofanya zaidi ya kujaribu kutekeleza aliyoyaacha mkapa
3. Wananchi wameshindwa kutofautisha urais na usanii au uafisa miradi
4. Mfumuko wa bei ni proof kwamba hakukua na rais anaecontrol nchi.
 
Ukiwa shabiki wa JK nahisi uelewa wako utakua mdogo sana. Jamani dola ya marekani inatutesa sana, kila siku mishahara yetu inageuka kuwa hela za madafu!!
 

Na hii(red) ni hatari sana...Mostly alichofanya kwenye hili ni kuwatisha wafanyakazi kwamba wataenda kwenye MAONGEZI WAKIWA NA PLASTA!
Uraisi huu wa kupewa na akina ROSTAM uogopwe sana!
 

Ndugu yangu, tumeishi kwa kudra za Mungu tu kupitia wachungaji, mapadre na maimam. Hakuna lolote alilofanya kwenye uongozi kwani kuvumilia hiyo hali, ilibidi tuongozwe na viongozi wa dini kwa kutuasa nini tufanye kwa wakati huo tukiwa wahanga wa kutelekezwa na rais.

Nachelea kusema tumepata mkombozi, Dr Slaa
 
Hivi ninyi hamuwajui waswahili?? For them nothing is serious! Kikwete ni mswahili. Hawezi kuwa seriaz kwa chochote, na ndo mana daima huwa anasema "kelele za mlango hazimunyimi mwenye nyumba usingizi." Kwake kila kitu ni mzaha tu.
 
Na hii(red) ni hatari sana...Mostly alichofanya kwenye hili ni kuwatisha wafanyakazi kwamba wataenda kwenye MAONGEZI WAKIWA NA PLASTA!
Uraisi huu wa kupewa na akina ROSTAM uogopwe sana!

Sasa hawa ccm wanaotupangia rais na mawaziri vilaza mpaka lini? Je viboko virudishwe kuwaelimisha wanachama wa ccm? Tunakosa huduma bora, maisha yetu yatakua mafupi kisa watu wachache wanaoikumbatia ccm. Mungu atusaidie
 
I officially declare CCM = Chama Cha Maafa. Msimamo wangu utabadilika siku kitakapoangushwa madarakani na kujifunza upya. Naona kama jpili mbali sana, tupeleke mbele saa zetu? kumbe haisaidii....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…