I am Groot JF-Expert Member Joined Jul 20, 2018 Posts 3,929 Reaction score 10,747 May 19, 2022 #1 Uhuru ulituzidi tukawa watu wa hovyo sanaππ
Tafuta Hela JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 1,546 Reaction score 2,983 May 19, 2022 #2 Mkuu umesahau picha tukiwa tumeoga tunasubiri wali
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 15,966 Reaction score 26,404 May 20, 2022 #3 Sometime unatamani hata urudi utoto lakini haiwezekani
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 May 22, 2022 #4 Mbina hamna picha ya watoto tulokua tunagombea ubwabwa kwenye maharusi[emoji1787][emoji1787][emoji16] Sent using Jamii Forums mobile app
Mbina hamna picha ya watoto tulokua tunagombea ubwabwa kwenye maharusi[emoji1787][emoji1787][emoji16] Sent using Jamii Forums mobile app