GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nimeanza kutuliza....ntarudi ikipoa
Tatzo ni kutosikilizwa kwa wanafunzi wa Usenge!
Nadhani kwa vile wanasoma shule ya sekondari ya Usenge,Sio jambo la ajabu kwao kufanya mambo ya Kisenge kama hayo ya uchomaji shule.
Waache "USENGE".
Namaanisha tuwaache,tusiwaangilie mambo yao,tuwaache waendelee na "USENGE".Unamaanisha wahame haraka hiyo Shule ya Upili ( Secondary ) ya Usenge au? Sijakuelewa vizuri Mkuu.
Subiri nichukue miwani. Haya maandishi me_kundu hayaonekani vizuri
Hii ndio moja ya madhara makubwa ya kutokuwasikikiza watu/wananchi. Hapo maana yake vijana walipaza sauti zao hata hawaku sikilizwa, na mwisho hicho walicho kifanya ndio kielelezo cha kwamba walifikia mwisho wa uvumilivu.
Ukilitazama hili tukio kwa jicho la tatu, maana yake hata hapa kwetu linaweza kutokea kama viongozi hawataweza kuwasikiliza na kutatua matatizo ya wale wanao waongoza.
Namaanisha tuwaache,tusiwaangilie mambo yao,tuwaache waendelee na "USENGE".