Tullow wahamishia fedha zao kwenye Uganda-Tanzania oil pipeline

Tullow wahamishia fedha zao kwenye Uganda-Tanzania oil pipeline

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Hii habari nimeisikia kupitia taarifa ya habari ya chombo cha habari cha kimataifa...sijafanikiwa kujua ni kipi kati ya BBC au DW.

Habari ni kwamba ile kampuni ya Tullow ambayo wakenya walikuwa wakijivunia nayo kiasi cha kutaka kuhamishia huu mradu kenya imeamua rasmi kuwekeza fedha zake kwenye huu mradi.
 
Back
Top Bottom