Tully ni nani CRDB?

Tully ni nani CRDB?

Mdondoaji

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2009
Posts
5,108
Reaction score
1,137
Nimekuwa nikiona thread nyingi huyu dada akiwa anakuwa refer pale CRDB ni nani?
 
Esta Tully mwambapa ni mtoto wa hayati brig.gen. Mstaafu Mwambapa,currently ni Marketing Manager wa CRDB bank
 
nyumba ndogo ya Kimei pale CRDB, ndo maisha hayo maana ni mafupi pia.

Aliolewa na jamaa mmoja anaitwa Toni Msilikari lakini waliachana baada ya kuwa wamezaa mtoto mmoja. Walioana baada ya Tully kumaliza chuo kikuu
 
Kama director wa marketing tunamuomba atusikilize malalamiko yetu kuhusu wafanyakazi wake wa CRDB na huduma zao. Inaonekana CRDB customer services zinashuka she is the right person kushughulikia hilo jambo kwani CRDB ni benki ya siku nyingi ila naona inatusikitisha siku hizi.
 
Kwahiyo sasa yuko single? Na je kuna ukweli katika haya unayosema kwani kama kuna kamati ya maadili basi Kimei atakuwa matatani kwa kuwa na personal relationship na one of his directors in the company (conflict of interest). CRDB hawana shareholders???
 
duuu hili litakumba wengi!
 
Kimei alinyang'anywa na JK na ndio kisa cha Kimei kuukosaa u Gavana
 
Kwahiyo sasa yuko single? Na je kuna ukweli katika haya unayosema kwani kama kuna kamati ya maadili basi Kimei atakuwa matatani kwa kuwa na personal relationship na one of his directors in the company (conflict of interest). CRDB hawana shareholders???

Hana relation na Kimey, Kimey ni shemeji yake.
 
Kama director wa marketing tunamuomba atusikilize malalamiko yetu kuhusu wafanyakazi wake wa CRDB na huduma zao. Inaonekana CRDB customer services zinashuka she is the right person kushughulikia hilo jambo kwani CRDB ni benki ya siku nyingi ila naona inatusikitisha siku hizi.

tangu mwaka 1947 wafanyakazi wake bado tu hawajapata ujuzi wa kuhudumia wateja!
 
Back
Top Bottom