Tulokutana na visa humu JF vilivyotufanya tutaman kubadili majina yetu tukutane hapa,naanza mimi kuelezea yalonikuta

youngdonats18

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
685
Reaction score
443
Kiukwel kuna wakati nataman iwekwe new update ya Jf ili niiupdate yenye sehem yakubadili username haya majina yetu tunayotumia mana kuna baadhi ya watu huwa wanajikuta wanajua kuchambua username z watu badala ya kujenga hoja.

Nikiwa moja ya watumiaji wa jukwaa la mahusiano na celebrity forum pia Jukwaa la Jf doctor kuna watu wanaleta habari etii oooh
Youngdonats18 iyo donati ni maandazi yenye tobo katikati kwahiyo hivi na vile
But donats nimeamua kufupisha my name Donatus ila kifupi imekua kero kwa raia wa hayo majukwaa yan mtu unajenga hoja afu mtu anajibu kulingana na username yako

Naomba mods mnipe link ili niweze kubadili jina langu [HASHTAG]#madness[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…