Tuma hela, shikamoo Nigeria

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Nilikuwa naangalia majuzi fb acc ya nabii mmoja aliwahi mtabiria David kifo cha mwanae

Leo nikaona niwasiliane nao nkatuma maombi yangu ya kiroho
nioMbewee weee ..kweli hamna vya buree

Msg niliyopokea mudaa huuuu

Tuna maji ya upako aina 3

Dollar 100 dollar 150
Na 200

Mafuta ya upako dollar 50
/150/200

Tumahela kupitia acc xxxxx
Weka details zako na jinsi ya kukufikia ulivyonunua

Mmmh nikawaza haya ndio majibu ya maombi yangu nini...hatareee
 
Wataishije bila hela zako?
 
Mkuu tuone hyo meseji?
 
Yahoo boys hao sio pastors wala nn ,hao scammers tena wanaishi maisha ya juu zaidi ,mpaka wazungu wanapigwa.
 
Ushahidi please[emoji3064]
 
Hayo maji ya upako Unataka pia yaruke kimiujiza Toka Lagosi mkuu? Kuna transport fee.. ila pia uwezekano wa kutumiwa maji ya Bomba au kisima ni mkubwa.

Halafu ujue kwamba usafiri wa hayo maji mafuta
…. Mwezako mchungaji /nabii anajifungia kumwomba Mungu ili apate ujuzi wa kuhudumia waumini wake
Anapoteza muda mwingi
Pia anafamilia inamtegemea
Kuna watumishi wa kanisa pia wanahitaji posho au mshahala
—-na ile ni taasisi inahitaji hela ili kujiendesha
Peleka tu nawe utabirikiwa na mafuta hayo yameombewa kikwelikweli
 
Post za hii design zinanifanyaga najiuliza 'hivi kwa hii dunia bado kuna ma dumba$$ wanaamini kwa huu utumbo'

Bora uende kwa yule sangoma atayekwambia ukifanikiwa utaleta shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…