Tuma Salaam Kwa Watu Watatu

Natuma salamu kwa ndugu zangu wote, mjini mipango njoo bila taarifa simu sipokei.

Natuma salamu kwa mama la watoto wangu, kidogo ndio chetu, ukitaka kiwe kikubwa tuwe na nidhamu na pesa.

Salamu hizi za mwisho ziwafikie Wanaume Wote, raha ya mke muoe kwa jasho lako., biashara ya kuchangiana ndio sababu ya kumuacha mke kirahisi rahisi.

Ujumbe: Rangi nzuri haikawii kupauka.
 
Salam zangu ziwafikie

Magu koz naskia nayeye ana soma mitandao
The book popote alipo humu jamii forum

Za mwisho zimfikie mshana popote alipo.

Ujumbe hela sio mbaya ila watu ndo wabaya.
 
Salamu zangu ziwafikie...
1. Judgement
2. Sosoliso
3. Kokutona
 
Salamu zangu za kwanza zimuendee mods 4,za pili zimuendee lemutuzzi mwili mkubwa akili sisimizi na zamwisho napenda kutuma kwa wana MMU wenzangu...ujumbe *mwalimu wa field hakimbiwi*
 
Natuma Salamu kwa members wa kapuku forum wooote, ujumbe tuzidi kuusongesha uzi kama kawa kwa peace & love no shobo no ufagio sisi ni zaidi ya family..naachia laini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…