Tuma salamu, ujumbe chagua muziki.


Babu umenikumbusa mbali sana..
sasa umenifanya nianze kuwaza especially kuhusu hao wapendwa
wetu wawili wa mwanzo uliowataja... Hopeful wako mali pema kabisa ...
 
Babu umenikumbusa mbali sana..
sasa umenifanya nianze kuwaza especially kuhusu hao wapendwa
wetu wawili wa mwanzo uliowataja... Hopeful wako mali pema kabisa ...
Yeah! Naamini hivyo. NITAWAKUMBUKA DAIMA.
 
Me napenda kuwatumia salamu wafuatao. Bishanga,Aspirin,Pombe kali(sijui yuko wapi au naye yumo kwenye list ya wale watu wa kigogo? Salamu zingine ziende kwa Arabela, wakati ndio sasa, mathematics(aliyetaka kujinyonga),KOKUTANA, Baba V, ladyfuraha, gfsonwin.

sitamsahau boss wangu Mamdenyi na salam zingine zimuendee Bab wangu Madame B.
Na wana chitchat wote

Ujumbe tufanye kazi kwa bidii

Mziki wa kusindikiza salam
( starehe- ferooz)
 


Yalaiti napenda pasi kifani,
Tofauti sikutilii moyoni,
Sikuachi leo na kesho peponi;
A a a aa aaaa aaaaaaa, I LOVE UUUUU!!!!!!!!!
:A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss:
Rutashobolwa Hubby umeamkaje?
Me niko Pouwa,
Twende Fyatanga Tukanywe....
 

Attachments

  • IMG-20111123-00161.jpg
    350 KB · Views: 34
Nime amka salama baby wangu!


 
Kaizer mie simuulizi bana asije akasema nakulindalinda sana ukaanza ugomvi buree, ili hali mie siwezi ngumi na kusutwa naogopa.

mwaJ wa siri wangu unazidi kuthibitisha busara zako natural kabisa Nimepewa off ya iddi kesho naanza safari kuja tusherekee iddi na babu Asprin
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Twende Fyatanga Tukanywe....

We Madame B uache tabia mbaya ya kutuma haya makitu subui subui wakati wengine tuna njaaa...........wallaih udenda wantoka!!!! Natamani mtoriiiiiiii
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…