Tuma Salamu za Krismas kwa watu wawili Unaowapenda sana hapa JF

Anayeabudiwa tarehe 25 December ni Tamuzi, muungu wa Babeli aliyeingizwa afanane na YESU Ili aabudiwe Kwa Siri na wakristo. Hiyo ni KAZI ya waroma.

Mnaabudu miungu Kwa kujua au kutojua.

Soma (Yeremia 7:17-18), (Ezekiel 8:1-20), (Mwanzo 1:8) Nimrod ndiye baba wa Tamuzi wa mchongo.
 
Utatumaje salamu Kwa mtu ambae haumjui physically?

Kwanza sikukuu ni mambo ya Watoto na kina Tamuzi
 
Huu uzi haukuhusu, kama unasherehekea Birthday yako una uhakika ulizaliwa tarehe hiyo unayoadhimisha?
 
Huu uzi haukuhusu, kama unasherehekea Birthday yako una uhakika ulizaliwa tarehe hiyo unayoadhimisha?
Hata birthday sisherehekei.

Mungu hapendi kushare utukufu na miungu.

Tamuzi , muungu wa jua, anaabudiwa na wakristo duniani Kwa kujua na Kwa kutojua tarehe 25 December.

Kila siku ni ya kumshukuru Mungu Kwa kutuletea YESU azaliwe maishani mwetu.

Amen
 
Sasa kama husherehekei ni wewe sio sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…