Tumaini Hospital

Tumaini Hospital

Sir

Member
Joined
Aug 4, 2009
Posts
12
Reaction score
0
Mwenye namba za simu za Tumaini hospital naomba anisaidie ikiwezekana na pia kupata namba ya simu ya specialists wa mgonja ya njia za mkojo hasa kwa wazee na matatizo mengine ( [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Urology"]urologists[/ame])

Nataka kuweka apointment kwa ajili hiyo
 
Mwenye namba za simu za Tumaini hospital naomba anisaidie ikiwezekana na pia kupata namba ya simu ya specialists wa mgonja ya njia za mkojo hasa kwa wazee na matatizo mengine (urologists)

Nataka kuweka apointment kwa ajili hiyo

Nchi hii kubwa ndugu yangu.

Ungetarajia msaada zaidi kama ungeweka hadharani kwamba hospitali hii iko mkoa gani!

Au Dar ndo Tanzania?
 
Tumaini Hospital ninayoulizia ipo Dar es salaam, Karibu na Makao makuu ya Jeshi Lugalo, Upanga.

My concern ni kukutana na Dr. Yongolo
 
Tumaini Hospital ninayoulizia ipo Dar es salaam, Karibu na Makao makuu ya Jeshi Lugalo, Upanga.

My concern ni kukutana na Dr. Yongolo

Naifahamu hospital hiyo, namfahamu pia Dr. Yongolo nishatibiwa pale mara nyingi nikiwa Dar........!

Bahati mbaya namba ya simu ya pale Hospital nimepoteza ninayo ya Dr. Yongolo......nitakuPM uijaribu kuipiga kama hajaibadilisha.....last time nimewasiliana naye July 2008! Ni Urologist mzuri sana, mtalaam wa ma DVU etc etc....though ni expensive pia!

Check out ur PM!
 
True mze wa pond' Yongolo yyupo pale tena alikuwa safari amerudi... Nenda tu pale reception waombe appointment hawana tatizo watakupangia
 
this is good kabisa jamaa kaomba msaada in a minute kapata namba hadi ya daktari mhusika. This is the value of JF

Sir ukifanikiwa kumtibu mgonjwa wako rudi hapa na ushukuru jamvi na mimi nitakuwa wa kwanza kugugongea senks
 
Naifahamu hospital hiyo, namfahamu pia Dr. Yongolo nishatibiwa pale mara nyingi nikiwa Dar........!

Bahati mbaya namba ya simu ya pale Hospital nimepoteza ninayo ya Dr. Yongolo......nitakuPM uijaribu kuipiga kama hajaibadilisha.....last time nimewasiliana naye July 2008! Ni Urologist mzuri sana, mtalaam wa ma DVU etc etc....though ni expensive pia!

Check out ur PM!

Mie naijua namba yake:

0784 644 445
 
Dah JF is great aisee. Niko mbali na Dar na nilikuwa sina na za hii Hospital but nimeipa kwenye huu uzi wa 2009. Ubarikiwe mkuu.

Ila hiyo hospital ni kama imekufa tu sasa..imejaa ma dr wasanii sanii tu wanaopiga deiwaka tu sasa
 
Back
Top Bottom