Mwenye namba za simu za Tumaini hospital naomba anisaidie ikiwezekana na pia kupata namba ya simu ya specialists wa mgonja ya njia za mkojo hasa kwa wazee na matatizo mengine (urologists)
Nataka kuweka apointment kwa ajili hiyo
Tumaini Hospital ninayoulizia ipo Dar es salaam, Karibu na Makao makuu ya Jeshi Lugalo, Upanga.
My concern ni kukutana na Dr. Yongolo
Naifahamu hospital hiyo, namfahamu pia Dr. Yongolo nishatibiwa pale mara nyingi nikiwa Dar........!
Bahati mbaya namba ya simu ya pale Hospital nimepoteza ninayo ya Dr. Yongolo......nitakuPM uijaribu kuipiga kama hajaibadilisha.....last time nimewasiliana naye July 2008! Ni Urologist mzuri sana, mtalaam wa ma DVU etc etc....though ni expensive pia!
Check out ur PM!

Dah JF is great aisee. Niko mbali na Dar na nilikuwa sina na za hii Hospital but nimeipa kwenye huu uzi wa 2009. Ubarikiwe mkuu.+255773659153
Dah JF is great aisee. Niko mbali na Dar na nilikuwa sina na za hii Hospital but nimeipa kwenye huu uzi wa 2009. Ubarikiwe mkuu.
Which is the best hospital now? Nahitaji kumuona specialist wa figoIla hiyo hospital ni kama imekufa tu sasa..imejaa ma dr wasanii sanii tu wanaopiga deiwaka tu sasa
Which is the best hospital now? Nahitaji kumuona specialist wa figo
Sawa but tatizo huwezi pata tiba on time, too much nenda rudi...muhimbili bado ni best kuliko hospitali zote nchini