TUMAINI JIPYA: Serengeti Boys wapambana na kupata sare dhini ya Ghana U17

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Mchezo wa kirafiki kati ya Serengeti Boys (Tanzania) na Black Starlest (Ghana) umemalizika uwanja wa taifa Dar Tanzania 2-2 Ghana.

Dakika ya 90+9 Serengeti Boys wanasawazisha Tanzania 2-2 Ghana

Dakika ya 90+5, Tanzania wanapata goli la kwanza kwa mkwaju wa penati. Tanzania 1-2 Ghana

Dakika ya 90+4, Tanzania wanapata penati.

Dakika ya 73, Idris Mohammed anaiandikia Ghana goli la pili. Tanzania 0-2 Ghana

Dakika 45 za mchezo wa kirafiki kati ya Tanzania na Ghana uwanja wa taifa Dar es Salaam zimekamilika. Tanzania 0-1 Ghana

Dakika ya 22, Ghana wanafunga goli la kwanza. Tanzania 0-1 Ghana
 
Dakika ya 90+9 Serengeti Boys wanasawazisha Tanzania 2-2 Ghana

Dakika ya 90+5, Tanzania wanapata goli la kwanza kwa mkwaju wa penati. Tanzania 1-2 Ghana

Dakika ya 90+4, Tanzania wanapata penati.
Hii ndio miujiza ya Afrika...
 
hii iwe timu ya taifa maana wakubwa wao ni mbumbuu ukiacha sammata
 
Mpira unachezwa dakika 100 kama tunawapenda haya majaribio marefa wawe fair
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…