Fimbo ya Musa
Member
- Jul 21, 2012
- 94
- 13
Mimi ni graduate tangu mwaka jana katika fani ya digri ya uhasibu. Nimejitahidi kutafuta kazi pasipo mafanikio. Nakwasasa niko hapa mjini Dar es salaam. Kwa namna nisiyotarajia nimepata mtu wa kunidhamini tsh 500,000 ili atleast niwe bize kidogo! Naomba ushauri wako mwanajf nifanyie biashara gani hapa Dar. Au niifanyie nini ili atleast niweze kupata tumaini la maisha tena jaman. Asanteni!