Fimbo ya Musa
Member
- Jul 21, 2012
- 94
- 13
Mimi ni graduate tangu mwaka jana katika fani ya digri ya uhasibu. Nimejitahidi kutafuta kazi pasipo mafanikio. Nakwasasa niko hapa mjini Dar es salaam. Kwa namna nisiyotarajia nimepata mtu wa kunidhamini tsh 500,000 ili atleast niwe bize kidogo! Naomba ushauri wako mwanajf nifanyie biashara gani hapa Dar. Au niifanyie nini ili atleast niweze kupata tumaini la maisha tena jaman. Asanteni!
kama huoni noma fanya hivi nilifanya mie wakati nimemaliza form 6 enzi hizo. na kwakuzingatia pesa yako ni ndogo, nenda boma langua nguo za kike (japo inahitaji uzoefu) zinauzwa kwa mnada, nenda kaatafte goli mahali kokote uuze, i mean maeneo mengine kama tandika, tabata, kimara, mbezi, tegeta kokote ambako unahic itakuwa poa, alafu pembeni wakati unauza pamba weka na matunda genge la matunda saizi c unayaona mengi dar...mie ilinilipa, ingawa jamaa wa uchumi watakuja hapa na kuku discourage eti matunda yanaoza, wachumi wengi hawana biashara za kueleweka coz they count loss than anything else hawajui ku take risk....kwaheri kwa sasa
Mimi ni graduate tangu mwaka jana katika fani ya digri ya uhasibu. Nimejitahidi kutafuta kazi pasipo mafanikio. Nakwasasa niko hapa mjini Dar es salaam. Kwa namna nisiyotarajia nimepata mtu wa kunidhamini tsh 500,000 ili atleast niwe bize kidogo! Naomba ushauri wako mwanajf nifanyie biashara gani hapa Dar. Au niifanyie nini ili atleast niweze kupata tumaini la maisha tena jaman. Asanteni!
Mimi ni graduate tangu mwaka jana katika fani ya digri ya uhasibu. Nimejitahidi kutafuta kazi pasipo mafanikio. Nakwasasa niko hapa mjini Dar es salaam. Kwa namna nisiyotarajia nimepata mtu wa kunidhamini tsh 500,000 ili atleast niwe bize kidogo! Naomba ushauri wako mwanajf nifanyie biashara gani hapa Dar. Au niifanyie nini ili atleast niweze kupata tumaini la maisha tena jaman. Asanteni!
Kijijini kwenu kwa hiyo laki tano ni kubwa sana nenda kawekeze kwenye kilimo! uking'ang'ania mjini itakula kwako. hiyo pesa ni kidogo sana! acha kuweka matumaini kwenye fedha ndogo kama hiyo!...
Acha kumkatisha mwenzio tamaa. Ndio laki 5 ni pesa ndogo lakini unadhani inatosha kuwekeza katika kilimo kama kweli mtu anataka kilimo kimtoe? Hata kilimo kinahitaji mtaji wa maana. Kwa vile yeye ni graduate na bado anatarajia kuajiriwa akienda kijijini itakua ngumu kufuatilia ajira. Hivyo kwa kuanzia anaweza kufuata ushauri wa Dumelang kujiajiri. Huwezi kujua hako kabiashara kadogo kanaweza kukua na akaendelea na mpango wa kujiajiri kwa kutanua biashara yake au akaendeleza hiyo biashara hata pale atakapo ajiriwa hivyo kumuongezea kipato. Btw, huenda hata huko kijijini unapomwambia aende hapajui (kuna watu wanazaliwa mjini wanazeekea mjini)
kijana io psa kwa mjin hapa i ndogo sana hata biashara ya mpesa na tigo pesa huezi fanya kibissaaaaa cus inataka hela nyingi,cha mhimu rudi kijijn kwenu na io hela kaaangalie fursa zilizopo ufanye maisha,wacha kukomaa na mjini,atakudandia demu hapa mjini wiki tu utabakia mikono mituopiu uone kane jinga,mi nlienda Iringa kupga biashara za mazao kule,unajikakamua tu mtot wa kiume,cha mhimu weka nia mbele na thn chukua hatua,mjini laki tano ni kama bure,utapanda treni weee adi
fanya biashara ya matunda sokoni unanunua jumla usiku kwa wakulima alafu asubuhi unalangua rejareja
kuna jamaa yangu mmoja alimaliza sua alifanya sana hiyo biashara mpaka alipopata kazi!
nailikuwa inamtoa sana!