Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Tuna vyama vya siasa lakini kiuhalisia vyama hivyo kuna wana harakati tu ndio wengi hakuna watu ambao kama chama kinaingia madarakani basi watakuwa ndio engine ya serikali
Hivyo tunalalamika kuwa CCM hawafai ,ufisadi umeshamiri ,maliasili zinatumiwa vibaya lakini hakuna Chama kinachojipanga kuongoza Nchi kikawa mbadala wa CCM .
CCM imekuwa kama club ya mpira kila mpinzani anayeonekana mzuri inamchukua
Kuna haja ya wapinzani kuji organize au CCM kubadilika kwa masislahi ya Taifa .