Tumaini Makumira Arusha mbona kimya fedha za TP?

Mudathru

Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
88
Reaction score
30
Serikali ya wanafunzi chuo kikuu Tumaini Makumira Arusha mbona kimya kimewazidi? Mtuweke wazi waja wenu kuhusu pesa za TP tujue zipo hazipo ili tuanze kazi Juma tatu!
 
pole mkuu waulize vyuo vingine walivyopata shida na hiyo hela. na tatizo wengi wa madenti mnapenda kufanyia field ugenini ambapo hupati hata tone la msaada.
 
Uko sahihi lkn kwa Makumira ni zaidi ya 98% ya wanafunzi wake hufanyia field makwao....!
 
umewasiliana na rais wako au waziri wako wa mkopo kabla ya kulalamika hapa jf? au una uhakika watapita hapa?
 
pole mkuu waulize vyuo vingine walivyopata shida na hiyo hela. na tatizo wengi wa madenti mnapenda kufanyia field ugenini ambapo hupati hata tone la msaada.

asee wape kidonge chao... Tena bora yao wanaweza kuzipata wakiwa field, wengine we have 2 weeks to finish the game na hzo allowances tumeshasahau kama huwa zpo- viongoz wetu hawaoni umuhmu wetu jaman!
 
Pole mkuuu sasa wao ndo wameanza field wanalialia tu hapa
 
Back
Top Bottom