Ili ionekane kwenye local channel inabidi uingie mkataba na startimes na uwe unalipia kila mwezi au kwa mwaka,hii ni tofauti kama haupo kwenye local channels japo na huko Kuna charge. Wameshindwana kwenye kulipana. Kuendesha channel ya TV ni gharama mno.