Khalifax Sayed
Member
- Feb 1, 2015
- 44
- 8
Wakuu, naomba kwa alie na uelewa na hiki chuo nataka kufahamu ubora wake kiufundishaji na hadhi ya degree inayotolewa apo, nmetembelea website yao sikutosheka na taarifa nlizozipata. Naomba kwa anaekifahamu anieleze zaidi, na km kuna uwezekan tukijadili kidogo.
Huja ainisha unataka kujua nini specifically..
Kama we ni mtanzania halafu hausomi UDSm, muhimbili, kairuki, kcmc bora uende kupiga ramli vilivyobaki sio vyuo
Kama we ni mtanzania halafu hausomi UDSm, muhimbili, kairuki, kcmc bora uende kupiga ramli vilivyobaki sio vyuo
haujielewi wewe,sua,bugando vipi hivyo kajipange upya