Tumaini university Makumira ufisadi wazi wazi

Tumaini university Makumira ufisadi wazi wazi

backspace

Member
Joined
Apr 24, 2012
Posts
16
Reaction score
3
mgomo wa nukia chuo kikuu makumira kutokana na ungozi wa chuo kutaka kuwajeuza wana chuo kuwa mtaji baada ya kuanzisha ulipaji wa lazima wa Tsh 60000 za matibabu kwa kila mwanafunzi kwa mwaka.pesa hii kwanza imekuja kati kati ya mwaka na mbaya zaidi hata wafanya kazi na wategemezi wenye bima ya afya wamelazimishwa kulipa pesa hii.sababu za kugoma kwanza dispensar yao ya chuo haina doctor wala dawa,pili iweje wenye bima walipe sawa na wasio na bima,tatu iweje mwadili asituelimishe juu ya hela hii anacho fanya ni kubandika matangazo...walicho fanya ni kupiga mahesabu ya wanafunzi 2500 mara 60000 ambayo ni Tsh 150000000 milioni.Huu ni ufisadi ambao hatuta ukubali hata iweje.tumeona tulieleze hili mapema ili watu wasije sema nimgomo wa siasa kama wengiwalivyodai katika migomo iliyo pita kuwa viongozi wa chadema ndio walituambia tugome....
 
Ndugu ni 30,000 tsh. Ila tupo pamoja ingawa inaonekana kama move ni ya darasa flan 2, wanaiba wazi wazi ilitakiwa ianze mwanzo wa semister ila imeanza ktk, kingine wabunge wa madarasa walipitisha bila kuhoji wahusika inaonekana ina influence kutoka juu au katikat ya uongozi.
 
Kweli Tanzania nchi ya maajabu sasa huyo mwenye bima analipa nini tena jamani.Mimi nilifikiri madudu serikalini kumbe hadi hadi kwenye source ya taaluma
 
Kaaeni na rais wenu mmalize ni jambo dogo sana kwani tupo busy na M4C
 
Asa mwenye bima alipe ili iweje tena?
 
Back
Top Bottom