MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,679
- 1,612
1. Nimesoma Arusha Times kuwa ELCT Tumaini University wanampango wa kufungua Campus Njombe. Hili Campus litakuwa na Schools Ilembula, Mafinga na Kidugala ktk Dayosisi ya Kusini pale makao makuu Njombe.
2. Tumaini tayari kuna Campuses- KCMC-Moshi, Iringa, Makumira-Ar. Kuna mipango kufungua matawi Stephano Moshi-Mwika, Maramba-Tanga, Dar n.k
3. Wataalamu wa Elimu, hivi Vyuo vinavyofunguliwa kama njugu Tz waalimu qualified hamna, vifaa hamna. Je serikali inasemaje?
Will this not in the long run compromise the quality of output?
Mbona sijaona mipango ya Vyuo hivi kusomesha waalimu ktk Masters na PhD na hutumia waalimu hao hao wa SUA, MU, UDSM, MUHAS na UDOM kufundisha part time ktk vyuo hivi vya private?
Angalia kozi nyinyi ktk Private hufundiswa na waalimu wa part time from public Universities- anzia IMTU, HKMU hapa Dar waalimu wanatoaka MUHAS, nenda Tumaini Iringa baadhi ya waalimu wanatoka MU n.k
A good University must have waalimu tena qualified with PhDs. Ila Tz Private Universities wana waalimu wachache sana wenye PhDs ambao ni parmanent.
Serikali ina sera gani?
Source:Local News

Last edited: