Tumaini University: No limits for Expansion?

MzalendoHalisi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2007
Posts
4,679
Reaction score
1,612
1. Nimesoma Arusha Times kuwa ELCT Tumaini University wanampango wa kufungua Campus Njombe. Hili Campus litakuwa na Schools Ilembula, Mafinga na Kidugala ktk Dayosisi ya Kusini pale makao makuu Njombe.

2. Tumaini tayari kuna Campuses- KCMC-Moshi, Iringa, Makumira-Ar. Kuna mipango kufungua matawi Stephano Moshi-Mwika, Maramba-Tanga, Dar n.k

3. Wataalamu wa Elimu, hivi Vyuo vinavyofunguliwa kama njugu Tz waalimu qualified hamna, vifaa hamna. Je serikali inasemaje?

Will this not in the long run compromise the quality of output?

Mbona sijaona mipango ya Vyuo hivi kusomesha waalimu ktk Masters na PhD na hutumia waalimu hao hao wa SUA, MU, UDSM, MUHAS na UDOM kufundisha part time ktk vyuo hivi vya private?

Angalia kozi nyinyi ktk Private hufundiswa na waalimu wa part time from public Universities- anzia IMTU, HKMU hapa Dar waalimu wanatoaka MUHAS, nenda Tumaini Iringa baadhi ya waalimu wanatoka MU n.k

A good University must have waalimu tena qualified with PhDs. Ila Tz Private Universities wana waalimu wachache sana wenye PhDs ambao ni parmanent.

Serikali ina sera gani?


Source:Local News
 
Last edited:
3. Wataalamu wa Elimu, hivi Vyou vinavyofunguliwa kama njugu Tz waalimu hamna, vifaa hamna. Je serikali inasemaje?

Unaweza kuthibitisha hili?
 
Mzalendohalisi naona hujafanya investigation ya kutosha kuhusu vyuo vya Tumaini,jaribu kufuatilia utagundua Tumaini imewaendeleza wahitimu kibao waliohitimu shahada zao ktk vyuo vyao ili waweze kuwatumia kwa kipindi kijacho.Mimi binafsi nafahamu kama 10 waliosomeshwa Masters na zaidi ya 3 waliosomeshwa Phd.na hiyo statistics ninayoifahamu ni kwa campus ya Iringa tu.
 
That,s grate.Maana huwezi kuwa na chuo kisichona waalimu wa kutosha. Cna uhakika watu wa open university kama wanafanya hili zoezi ila kwa experience yangu ndogo tu vyuo vingi vinajitahidi saana kusomesha waalimu wao.Japo ni wachache maana hawawezi kwenda wote kwa wakati mmoja,wanaenda kwa zamu na wengine wanabaki wakifundisha.
 


Mbona sijaona mipango ya Vyuo hivi kusomesha waalimu ktk Masters na PhD na hutumia waalimu hao hao wa SUA, MU, UDSM na UDOM kufundihsa part time ktk vyuo hivi vya private?



Tunaomba utoe nondo za kutosha, hatuwezi kujadili ishu ambayo haina evidence.
 

Tawi lingine litafunguliwa Mwenge kufanya jumla ya matawi mawili Dar es Salaam? Au ni zaidi ya mawili?
Jana imetolewa habari kwamba ada kwenye chuo hiki imeongezwa kwa asilimia 60%.

Shule za sekondari za KKKT performance yake ikoje siku hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…