Tumaini University wametoa majina

beniko

Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
94
Reaction score
9
Kwa wale walioapply chuo cha tumain kwa ngazi ya diploma degree na masters tayari wameshafanya selection ingia uchek jina
 
Nyie wasomi bana. Inamana kama mtu ajawek link uwez kujaribu kutafuta-aya bas google tumain unvsty utaikuta new alert
 
Jamani chuo cha tumaini tayari kimeshatoa majina ya wanafunzi watakaojiunga nao kwa maelezo zaidi tembelea tovuti yao.nawasilisha
 
Hiyo ni kwa Bachelor degree au hizo za diploma and other non bachelor degrees. .ufafanuzi zaidi
 
yametoka ila hawa majuha wa fom6 wacdhani ni wa tcu kwa ao wa bachelor mfano llb wanahitaji watu 400 na pale yapo majina yaliyotangazwa ni ma5 tu lazima kutakua na watcu wajazie izo nafac!
 
Ni kweli Tumaini Makumira wametoa majina lakini ajabu ya LLB ni matano tu, Nadhani hawa Tumaini watakuwa na TCU yao nyingine ya migombani,

Hawa Tumaini wanakera sana ada zao zipo juu sana kuaniza Milion2 kwa Education, Lakini hiki ni chuo chakavu sana, elimu yake ni ya kimazabezabe ya kuunga na supaglu heri usome TEKu kuliko hiki chuo cha kijuha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…