TUMALIZE UBISHI: Nimeiuliza CHATGPT Which is The best football club in Tanzania

Uliza top 10 best club in Africa.
Kisha uliza kwanini Yanga haipo kwenye top 10 kama ni bora kuliko Simba? Majibu vumilia rohoni usiyalete.
 
Uliza top 20 best club in Africa.
Wamezungumzia Tanzania, Yanga ndio klabu bora na Yenye mafanikio.

Ukizungumzia CAF una maanisha Afrika na kwa eneo ilo hakuna klabu yoyote ya Tanzania yenye mafanikio, eneo ilo wenye mafanikio ni Al Ahly na baadhi ya timu nyingine zilizo twaa ubingwa wa Afrika.

Kama hauma kikombe chochote inabaki kuwa timu ya kawaida.

Kama kucheza robo au nusu kwenye mashindano ya Caf basi Yanga imefanikiwa kwakua imecheza fainal.
 


View attachment 3226637
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…