Tumalize ubishi Superwoman ya Phina Vs Superwoman ya Zuchu ipi imetulia kusikiliza kwenye gari lako ukiwa safarini?

Tumalize ubishi Superwoman ya Phina Vs Superwoman ya Zuchu ipi imetulia kusikiliza kwenye gari lako ukiwa safarini?

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Pamezuka ubishi kuhusu wimbo wa "Superwoman" wa Phina na "Superwoman" wa Zuchu. Kuna mjadala mkali sana kuhusu wimbo upi umetulia kusikiliza ukiwa safarini.

Nimeamua kuileta hii mada hapa jukwaani pengine tunaweza kupata majibu sahihi.

Hii ni Superwoman ya Phina:



Hii ni Superwoman ya Zuchu:


Chukua muda wako sikiliza hizi nyimbo mbili kisha andika mrejesho wako hapahapa jukwaani. Tuweke ushabiki pembeni tuweke majibu sahihi:

Embu kama uko safarini muda huu embu sikiliza hizo nyimbo mbili kwenye gari yako kisha tuandikie chochote hapa.

Ahsanteni:
 
20230505_190338.jpg
 
Back
Top Bottom