4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Wakuu wa nguvu na wana wa Mungu wanaJF, kibali cha Mungu kikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake
Hili andiko litakua fupi sana.
JF ni ukweli na huakika siku zote,
Ndugu zangu binafsi bado nina msongo wa mawazo husiana na uchaguzi wa 2020 , hii ni tokana na maoni ambayo wanyonge wenzangu wamekuwa wakiyatoa katika vijiwe vyetu kwamba 2020 uchaguzi mwenda zake alichakazwa vibaya sana na team yake na ndo maana alikimbia na mpira kwapani, tokana na mwana wangu Lissu kuwapelekea moto ambao CCM iliwalazimu kulala na viatu na wengine kwenda gereji kila wakati.
Ila kwa mtazamo wa wengine wanasema uchaguzi wa wa 2020 CCM ilishinda kwa kishindo
Sasa ndugu zangu naomba tumalize utata, uchaguzi wa 2020 CCM ilichakazwa. au sio?
Natanguliza shukrani
Pia soma: Ya uchaguzi wa 2019 na 2020 yamejirudia uchaguzi wa marudio wa madiwani. Tutarajie uchaguzi mbovu tena 2024 na 2025