Uchaguzi 2020 Tumalize ubishi; Uchaguzi wa Rais 2020, CCM ilichapika au haikuchapika?

Nakukumbusha tu 2020 hakua na uchaguzi Bali uchafuzi
 
Waliojitokeza kupiga kura walikuwa mil 13, Tundu Lissu alipata kura milion 8 na ushee, Sendiga alipata laki unusu , tafakari mwenyewe

Peter Msigwa na John Pambalu wameibiwa kura kwenye uchaguzi wa chadema.
 
Mahera akamtangaza Jiwe kapata kura mil 12! bila aibu huku akijua waliojiandikisha walikuwa mil 29, hakusema kwanini hawakujitokeza

Matokeo ya mil 12 kwa Jiwe yalipangwa na kuvujishwa na Wazalendo 2 weeks before

View attachment 3008353
Mkuu barikiwa sana sasa napata picha kamili ,na wenda umenitibu msongo wa mawazo niliokuwa nao katika jambo hili ,mwana wa Mungu lissu haeshimiwe , machawa luksa kutema povu , ila yaje na vielelezo period
 
Peter Msigwa na John Pambalu wameibiwa kura kwenye uchaguzi wa chadema.
Nyie ccm mbona ndo wezi wakuu wa kura kama mmepata huruma juu ya Msigwa ,nendeni kwake na kianzio mkamchukue ccm mpo na matatizo sana
 
Ukimsikiliza DC wa Longido kituo kwa kituo utaelewa kua ni wazi uchaguzi wa 2020 ungekua huru na wa haki bas CCM ingechapika asubuhi na mapema
 
Ni ngumu kujua kwa kuwa JIWE aliiba kila kitu,.MCHAKATO WA UCHAGUZI na UCHAGUZI WENYEWE..ilikuwa ni AIBU kwa Tanzania kuongozwa na mtu wa kariba ile
 
Jiulize kwa nini serikali iliamua kuzima mtandao kwa siku 5 mfululizo utajua mshindi alikuwa nani.
 
Ni ngumu kujua kwa kuwa JIWE aliiba kila kitu,.MCHAKATO WA UCHAGUZI na UCHAGUZI WENYEWE..ilikuwa ni AIBU kwa Tanzania kuongozwa na mtu wa kariba ile
Za ndani wadau wanasema jiwe alichakazwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…