Tumalize utata, DStv Vs AzamTv, unaenda na ipi?

Tumalize utata, DStv Vs AzamTv, unaenda na ipi?

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Wakuu njooni tumalize utata, DStv Vs AzamTv unaenda na ipi kutokana na content unazopenda?
IMG_5342.jpeg
 
Nikiwa na smartphone, hata TV sihitaji ghetto.
 
Hivi hawa wenye movie ndefu ni Watu gani,
Mtu anafatilia kabla hajachumbiwa, anaolewa, anabeba mimba, hadi anajifungua anafatilia tu na hachoki
 
Back
Top Bottom