Tumalize utata,hivi huyu kubwa la wambea warumi ni mwanaume au mwanamke?

gonamwitu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
2,187
Reaction score
2,794
Ahlana wassalan wananzengo..!! Ramadhani kareem..!! Let me go straight to the topic kumekuwa na utata kwa muda mrefu sasa kuhusu huyu mbea wa kujotolea warumi kama ni mwanaume au mwanamke kutokana na threads anazopost humu kujaa utata mpaka tunashindwa tumuweke kundi gani coz kama jamaa ni mwanamke it's ok lakini kama jamaa ni mwanaume mhh kuna walakini kwa yeyote anaemfahamu hebu atuambie kama huyu mtu ni dume au jike, kwasababu marinda ni hadhina ya taifa kila mtu anapaswa kuilinda kadiri ya uwezo wake.
 
yawezekana kabisa...I'd moja ikawa inatumiwa na watu wawili...yaani wa kike na kiume wanaofahamiana vizuri (yaweza kuwa ni wapenzi).
 
Nilitaka kuandika hivi hivi.

Mtoa mada ana uandishi unaofanana sana na warumi.

Jei Efu tabu tupu
Nope mimi sio warumi na wala sifanani kwa chochote na huyo warumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…