Tumalize utata kwenye kampuni zinazouza electronic Kariakoo (Tanzania)

Seems Legit

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
 
Nina Panasonic flat TV inches 50 pamoja na home theater ya Panasonic pia toka 2012 hazijawahi guswa na fundi . Nikitaka kufanya upgrade ntaendelea kuwa team Panasonic tu.
Panasonic nawaelewa sana
 
Mm natumia tv ya star x tokea mwaka 2019,nasemaje hii ni miongoni kwa tv Bora sana

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Kuna brand fulani hivi za friji nilicheki mtandaoni,Kuna jamaa anadai baby yake aliitumia 40yrs baadaye akamrithisha Ila tulizo nazo Kama hizi za boss,Hisense, west point,zec,Mr uk, and related Ni ndani ya 5yrs unaanza kuhangaika nayo. Binafsi napenda kifaa kinachodumu hata miaka Mia nikinunue hata Mara kumi ya Bei ya kawaida kilichoko sokoni.yaani nikishafanya Jambo fulani ubongo wangu unapumzika kuwaza Jambo fulani
 
Vipi kuhusu Tv za kodtek zinaubora kulinganisha na Good vision ama starlex? Ama kwenye Tv kodtek hawako vizuri?
 
Vipi kuhusu Tv za kodtek zinaubora kulinganisha na Good vision ama starlex? Ama kwenye Tv kodtek hawako vizuri?
Hakuna mtengenezaji wa TV hapo,hao wote wanafanya assembling tu na kutia labels zao au wananunua kutoka kwa mzalishaji mkubwa. Wananunuawa sharti la kuwa tv ziwe branded kwa majina yao,hata wewe unaweza agiza tv kwa wingi ziitwe kipondo cha ugoko😊.
 
Kipondo cha ugoko tv[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huo ni umasikini, vifaa vya umeme hutakiwi tumia muda mrefu maana teknolojia hubadilika
 
Sound bar ni nini
 
Ni hitmishe Kwa kusema kama ulikua unatamani kumiliki Tv, subwoofer, Fridge nk na huwelewi wapi uazie au wapi utapata Kwa bei nafuu tuwasiliane.na pia kama ulikua unataka kufanya biashara Hii hichi ndio kipindi Cha kuingia kufanya.
LG bado wapo sioni products zao sokoni?
 
Huo ni umasikini, vifaa vya umeme hutakiwi tumia muda mrefu maana teknolojia hubadilika
Ukitumia miaka mitatu inatosha sana unauza au unagawa unanunua nyingine ya version mpya maana kipindi hicho utakuwa ushajipanga.
Yaani mtu kitu cha kununua laki 6 au laki 8 atumie miaka 10 utafikiri ni nyumba ya kulala.
 
Naomba nipogie tuwasiliane

Namba yangu ni 0762932520 naomba tuwasiliane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…