Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
MessiTukiwa tunaenda ukingoni kabisa mwa career za soka za Messi na Ronaldo, hawa jamaa hakuna tunachowadai tena, ila tumalize utata ulimkubali nani zaidi katika wakati wakiwa katika ubora wao?
Mimi kwa upande wangu ni Messi, wewe je?
Messi_kipajiWote nawakubali ila kwenye nidhamu na dribble Messi yupo Juu
Jana hiyo hiyo Ronaldo nae kafunga magoli mawili Juve ikishinda 2-1 mzee.Huwezi kumlinganisha Messi na mtu ambaye kaisha kiuchezaji
Hadi jana jumapili Messi katupia mbili kambani Valencia akifa 3,timu yake inaongoza ligi
Ronaldo mlinganishe na akina Van persie,Didier drogba,Rooney nk
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Messi ni Left FooterTukiwa tunaenda ukingoni kabisa mwa career za soka za Messi na Ronaldo, hawa jamaa hakuna tunachowadai tena, ila tumalize utata ulimkubali nani zaidi katika wakati wakiwa katika ubora wao?
Mimi kwa upande wangu ni Messi, wewe je?
Huwezi kumaliza Utata huu ndugu...... Tatizo wanazi Wa Messi Wanampima Pale Pale Barca.......Wakati CR7 Kawika Man U, Madrid,Juve na Timu Ya Taifa....! Sasa mtoe Messi Barca mpeleke kwingine...Huyu anaweza kufanana Pape Ndaw Wa Simba kwa mnaomkumbuka au Ykipe Wa Yanga....Acha Kabisa