Tumbaku Inalipa?

Tumbaku Inalipa?

mnang'umba

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2015
Posts
471
Reaction score
150
Nishaurini mliopo ktk kilimo Cha Tumbaku. Nataka kulima mwaka huu
 
Aione😛rofessor Jumanne Athuman Kapuya Wa Kaliua Urambo Tabora
 
Huenda wewe unajua zaidi kuliko hata wengine;

Why Tumbaku na sio Zao lingine lolote ?, Ni nini kimekuvutia kwenye Tumbaku, ili wengine wakuongezee mawazoa au wakupunguzie huenda unachodhani kwa wakati husika sicho...

Anyway Binafsi hakuna kitu ambacho hakilipi kama utakifanya kwa Kanuni husika na nikiweza mimi au kushindwa mimi sio kwamba na wewe au yule ataweza au kushindwa
 
Basi nitalima halafu nitaleta mrejesho. Dua zenu
 
Tumbaku inalipa iwapo utatumia zaidi mtaji wako kuliko pembejeo za mkopo vyamani. Zingatia tuu kufuata kanuni zote muhimu za kilimo hicho utatoboa.
 
Back
Top Bottom