Huenda wewe unajua zaidi kuliko hata wengine;
Why Tumbaku na sio Zao lingine lolote ?, Ni nini kimekuvutia kwenye Tumbaku, ili wengine wakuongezee mawazoa au wakupunguzie huenda unachodhani kwa wakati husika sicho...
Anyway Binafsi hakuna kitu ambacho hakilipi kama utakifanya kwa Kanuni husika na nikiweza mimi au kushindwa mimi sio kwamba na wewe au yule ataweza au kushindwa