Tumbo kubwa..nilipunguze vipi? kwa njia ya vyakula lakini

napenda kula hatari
Bila ya mazoezi especially
ya kukimbia then, hakuna njia nyingine. Na usije ukajaribu kujinyima
kula. Hilo ni kosa ambalo watu wengi wamekuwa wakulifanya na kuishia
kudhoofika na matokeo yake unakaribisha magonjwa
 
mazoezi nitakua nafanya weekends..huku nazingatia ulaji wangu..natumaini nitakua poa tu
 
Dah, hongera sana, nakutamanije, ngoja nijitahidi, mie nakunywa maji ya moto na asali tu so niongeze na limao?
Dozi ya mdalasini na limao niliifanya sana but haikusaidia kitu nikaachana nayo

Ongeza limao sweetheart. Mdalasini pia endelea nao usiacha.
Pia waweza Fanya sit ups kila siku 10-20
 
Nafurahi kuwa nimewezeza kuwashirikisha wengi kuhusiana na namna ya kuwa na afya njema na napenda pia wengine waendelee kushirikishana zaidi. Napenda kuwaeleza pia pamoja na kuwa nimewashirikisha kwa moyo mmoja ningependa pia kuwahamasisha kuwa tayari kuweza kusoma na kuelewa vizuri kuhusiana na mada husika kabla ya kuchukua namba ya simu. Nahimiza kusoma kwa sababu huwa wapo wengi wanakuwa na maswali mengi sana kutokana na kutokusoma hata kidogo na kukimbilia tu kuchukua namba. Akiulizwa A hajui wala Z hajui inakuwa tabu kidogo sababu nashughulika na watu wengi. Mtu akitaka pia kupata na ushuhuda wa wa baadhi ya watu ambao walishatumia na wanaamini katika lishe asilia wanaweza kutembelea link hii Testimony-MAGILIM

Shukrani na karibu sana.
 
poleni wenye matumbo ,kumbe sisi flat screen ni deal hapa mjini
 
nashukuru na mimi ni muhanga pia ila msaada wenu please asubuhi naweza kula vyakula gani na mchana maana kwa maisha yetu ya kibongo vinavyo tuzunguka ni vilevile chapati maandaz n.k
 
nashukuru na mimi ni muhanga pia ila msaada wenu please asubuhi naweza kula vyakula gani na mchana maana kwa maisha yetu ya kibongo vinavyo tuzunguka ni vilevile chapati maandaz n.k
 
Mimi nakitafuta kwa hapa DRC kitambi ujiko unaitwa papa Mulumba,,, ukiulamba na kiatu cha wanchoma kumoyo hata kama unatoka bush kama Masisi wadau watajua unatoka Kinwa.. a.k.a Kinshasa.... na Coffi Olomide jirani yako
 
Nile vyakula gani ili tumbo langu lipungue yaani lirudie hali ya u flat kama zamani

mazoezi huwa najaribu lakini nashindwa kuendelea nayo kiukweli

msaada juu ya hili maana linanikera sana wakati mwingine
Kama unavaa siruali acha, jilazimishe kuendelea na mazowezi.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…