Tumbo kujaa gesi kila baada kula ni ugonjwa au ni hali ya mtu mwenyewe?

daniel don

Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
43
Reaction score
3
Mdogo wangu anapokula na kushiba tumbo lake hujaa gesi ila hapati matatizo yoyote zaidi ya kubeua mara kwa mara na wakati mwingine hulazimika kula kidogo zaidi ili asipate hiyo gesi tumboni..

Wasi wasi wangu lisije likawa tatizo kubwa. Inapomtokea hali hiyo hutumia vidonge vya Magnesium..kiasi kwamba vidonge hivyo vimekuwa vikitumika kila siku kama sehemu ya mlo..ni kipindi kirefu sasa swala la gesi kwake ni kawaida..

Kama hilo ni tatizo dawa gani ni nzuri zaidi kumaliza gesi tumboni.
 
mpeleke hospitali afanye BARIUM MEAL TEST kwanza
 
hicho ni kipimo gani mkuu! kinafanyikaje?

Wanafanya hospitali kupima kama ana vidonda vya tumbo.
Wakati unasubiri mtafutie ALOE VERA JUICE ya GNLD au uliza katika pharmacies zinauzwa kwa ujazo wa lita moja.
 
Ni ugonjwa ambao unatokana na indigestion, mpeleke hoapitali!!!!
 
Wanafanya hospitali kupima kama ana vidonda vya tumbo. Wakati unasubiri mtafutie ALOE VERA JUICE ya GNLD au uliza katika pharmacies zinauzwa kwa ujazo wa lita moja.[/QU nitafute mi, ntakupatia ukihitaji,niPM TU.
 
Na kuna mwingne hata km hajala sana tumbo linajaa gesi,mfno amekunywa chai na vitumbua viwili tu lkn anabeua sna..
 
mkuu hyo hali hata mm ninayo sema nimetumia ubuyu umenisaidia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…