Tumbo kujaa gesi

Tumbo kujaa gesi

cattoon

Senior Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
142
Reaction score
43
Naomba msada Nina tatizo la kujaa gesi hasa nyakati za usiku naomba kujua Nina tatizo gani na kuna wakati tumbo huwa kubwa gumu lililochanganyik na gesi.
 
Subiria wa nakuja. Kila yawezekana ni chronic amoeba.
 
Naomba msada Nina tatizo la kujaa gesi hasa nyakati za usiku naomba kujua Nina tatizo gani na kuna wakati tumbo huwa kubwa gumu lililochanganyik na gesi.
Umri wako, sex ni vya mhimu kutuambia, but vidonda vya tumbo pia husababisha!, na nk ambavyo ninge annalyse bada ya kujua intro yako
 
Situmii kilevi chochote nakunywa pinaple soda tu
 
Ila usiku Nikila chakula chochote nabozoa tu mda wote natafunag magnesium lakini wapi
 
Jaribu kunywa maji yenye bicarbonate of soda asubuhi kabla hujaweka kitu mdomoni. Huwa inasaidia kuondoa gas tumboni ila sidhani kama ni afya kunywa kila siku. Fanya mara moja moja.
 
Back
Top Bottom