Subiria wa nakuja. Kila yawezekana ni chronic amoeba.Naomba msada Nina tatizo la kujaa gesi hasa nyakati za usiku naomba kujua Nina tatizo gani na kuna wakati tumbo huwa kubwa gumu lililochanganyik na gesi.
Ndo nasikia kwako chronic amoebaSubiria wa nakuja. Kila yawezekana ni chronic amoeba.
Umri wako, sex ni vya mhimu kutuambia, but vidonda vya tumbo pia husababisha!, na nk ambavyo ninge annalyse bada ya kujua intro yakoNaomba msada Nina tatizo la kujaa gesi hasa nyakati za usiku naomba kujua Nina tatizo gani na kuna wakati tumbo huwa kubwa gumu lililochanganyik na gesi.
Jaribu kunywa maji yenye bicarbonate of soda asubuhi kabla hujaweka kitu mdomoni. Huwa inasaidia kuondoa gas tumboni ila sidhani kama ni afya kunywa kila siku. Fanya mara moja moja.Ila usiku Nikila chakula chochote nabozoa tu mda wote natafunag magnesium lakini wapi
Wewe kwa nini tumbo hujaa gas? Unaweza msaidia mtoa mada akapata mwangaChai ya rangi mimi hunisaidia kutoa gas tumboni
Nikila maharageWewe kwa nini tumbo hujaa gas? Unaweza msaidia mtoa mada akapata mwanga