Hi Wanajamii habari za asubuhi
jamani ninapenda kama kuna watu wanaweza kuelewa hii kitu ni kuwa kuna shemeji yangu ana jawa na maji tumboni walienda kupima wakaambiwa milija fulani hivi haifanyi kazi. Sasa nlitaka kujua tiba ya hii kitu halafu nijue chanzao chake ni nini
Please kama kuna wataalam wanaolijua swala hili embu nijuzen.
Please kama kuna wataalam wanaolijua swala hili embu nijuzen.Mazogola thanks a lot nimekutana na hii thread hapa............Mzee wangu nae anatatizo kama hilo na limemuweka KCMC wiki ya tatu sasa..........Yeye alikuwa na Hernia na akafanyiwa operation baada ya Operation tatizo la tumbo kujaa maji likaanza likiambatana na vichomi vikali........mwanzoni tulidhani tumbo linajaa gas ila tulipompeleka KCMC wakatuambia tumbo linajaa maji..wiki ya tatu sasa hajapata nafuu na utumbo umevimba kwa sababu hali chakula.............Kesho wanamrudisha theater kwa ajili ya upasuaji sasa sijui wanairudia ile ya mwanzoni ama vipi..........maana wanasema daktar aliyemfanyia ya kwanza kuna mishipa ya maji aliikata.WENYE KUJUA WATUSAIDIE.....Mi mzee wangu anateseka sana
Shemeji yako:
1. Ni wa jinsia gani?
2. Ana miaka mingapi?
3. Alianza kupatwa na tatizo hilo tangu lini?
4. Huwa anapendelea kutumia pombe?
4. Hali yake ya sasa ipoje, amelazwa hospitali au yupo tu nyumbani?
5. Ana uzito wa kilo ngapi?
Jitahidi nijibu maswali hayo na nitarudi tena.
1. Ni wa kike
2.Ana Miaka 21
3. alianza kupatwa na tatizo hili mwaka huu ka miezi 3 nyuma
4.Hatumii kilevi cha aina yoyote
5. Hali yake kwa ss sio nzuri kwani moyo pia unaaanza kuuma
6. Ana uzito wa kili 55
kwa upande mwengine kama unajua,ungeelezea humu kidogo ili na sisi tuelimike.kwani mengine tunajifunza humu humuSwali la tano nilitaka kujuwa hali yake, pia endapo amelazwa hospitali au kuna dawa gani anatumia, anatembea peke yake?. Niandikie namba yake ya simu nimpigie binafsi.
Nyumbani | maajabuyamaji.net
Mkuu mzee ana miaka 58 sasa na not less than 50 kg maana amepungua kwa sababu ya haya maradhi............hatumii wala hajawahi kutumia kilevi..............Hernia ilimuanza kama mwka mmoja uliopita tunazungumzia mwaka 2010 mwishoni ndo matatizo ya Hernia yalimuanzaPlease kama kuna wataalam wanaolijua swala hili embu nijuzen.
Baba yako:
1. Ana miaka mingapi?
2. Alianza kupatwa na hernia tangu lini?
3. Huwa anapendelea kutumia pombe?
4. Ana uzito wa kilo ngapi?
Tayari nimeku-PM mkuu, uguza pole.Mkuu mzee ana miaka 58 sasa na not less than 50 kg maana amepungua kwa sababu ya haya maradhi............hatumii wala hajawahi kutumia kilevi..............Hernia ilimuanza kama mwka mmoja uliopita tunazungumzia mwaka 2010 mwishoni ndo matatizo ya Hernia yalimuanza
Tayari nimeku-PM mkuu, uguza pole.