Mkwanga Senior Member Joined Dec 6, 2010 Posts 146 Reaction score 20 Sep 7, 2014 #1 Wadua naomba kujuzwa juu ya hili shem wenu mjamzito kila ikifika asubuhi tumbo linamkata nini inasababishwa na nini na inaweza leta shida yoyote.
Wadua naomba kujuzwa juu ya hili shem wenu mjamzito kila ikifika asubuhi tumbo linamkata nini inasababishwa na nini na inaweza leta shida yoyote.