tumbo kutepeta

tumbo kutepeta

Habar zenu jaman...nna dada angu anaumri WA miaka 33 amejifungua sasa inapata mwaka mmoja...tumbo lake limetepeta yaan lmelegea sana linaning'inia.kiufupi halimpi raha hata akivaa nguo haikai vzuri..limemuharibia shepu kabisaa!!!anaomba msaada afanyeje tumbo lake lirud ktk hali ya kawaida?asante

afanye mazoezi, au atumie body tone kit inasaidia ku kaza tumbo na nyama za mikono na mapaja hasa kwa wale walitoka kujifungua au walio loose weight, ukihitaji ni pm.
 
Back
Top Bottom