bway hermit
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,337
- 2,339
Nkimuona tu mtt kashajiachiaNa ukidindisha kawaida tumbo linauma au mpaka mtoto achojoe ndio tumbo linaanza ?
Duhh ilo nalo nenoPunguza uoga wa tendo mkuu
Sawa mkuuNi hofu ndo tatizo lako mkuu, hakuna cha zaidi hapo. Tuliza akili,punguza hofu na munkari kabla ya kuingia kwenye hizi sarakasi.
Nkimuona tu mtt kashajiachia
Tumbo matata
Mkuu;kwahiyo tuiteje sexfobia! au?
hofu ya kushindwa katika game.tulia saa ikifika usiwe na papara kamavile hutaki,vua jezi preasure ikiwa bado chini,ila kama umetingwa sana neda toilet kwani inasaidia pia uchelewe kupiz wakati ukisakata kambumbu,ukilazimisha kitendo cha kupiga shuti 1 tu unamwaga wazungu, ikiwa bado demu ndo kwanza anapashaWana jf Mimi nna shida kidogo.Mara nyingi kabla ya tendo la ndoa tumbo langu huwa linauma na hisia zinapoteampaka niende choon kupata haja kuu ndipo hisia zinakuja na ndipo napofanikisha kufanya tendo.je tatizo nini?jinsi gani naweza kulitatua?
Ahsanten.
Aaaahh nmekuelewa mkuu [emoji28][emoji28]hofu ya kushindwa katika game.tulia saa ikifika usiwe na papara kamavile hutaki,vua jezi preasure ikiwa bado chini,ila kama umetingwa sana neda toilet kwani inasaidia pia uchelewe kupiz wakati ukisakata kambumbu,ukilazimisha kitendo cha kupiga shuti 1 tu unamwaga wazungu, ikiwa bado demu ndo kwanza anapasha
Nop sijawah kujichua ila dawa za nguvu nilitumiaga takriban mwaka wa jana February za kienyejUlishawahi kujichua? Je kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume?
Kwel ndugu mwili nadhan ushazoea hali hii mana kila maraWewe utakua hofu ndio inakusumbua maana kama ingekua tatizo basi ungekua hata ukidindisha kawaida inatokea hio.
Halafu sasa mwili umeshauzoeza hivo.