Tumbo kuuma(kunyonga) hadi kupoteza fahamu

Tumbo kuuma(kunyonga) hadi kupoteza fahamu

Voxwiser

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2017
Posts
1,094
Reaction score
1,353
Habari ya asubuhi ndugu zangu
Niende kwenye mada moja kwa moja

Ilianza mwaka juzi mida ya saa 10 usiku nilishtuka tumbo lilikua linanyonga sana huku haja kubwa ikawa inauma.nlipoenda uani nilijisaidia wakati huo tumbo lilikua bado linauma sana ..nlipotoka likawa linazidi ,....baada ya sekunde kadhaa nkajikuta nashtuka nkiwa chini nimelala na jasho zinatoka.
..baada ya hapo nkawa nko vizuri tu

Ikatokea tena mwaka jana... Hayo yote kipindi niko nyumbani
sasa leo pia nimeshtuka usingzini tumbo linauma saana nkaamka huku naenda chooni nkiwa naelekea huko gafla nkapoteza fahamu tena
nashtuka baada ya sekunde kadhaa nakuta npo chini na jasho linantoka,hakuna mpangaji mwenzangu alie niona .
sasa hi husababshwa na nini ila nkisha jisaidia basi
na haijawah tokea mchana mala nyingi asubuh ya sa kum adi saa1

#asant kwa mchango wako.
.
 
Habari ya asubuhi ndugu zangu
Niende kwenye mada moja kwa moja

ilianza mwaka juzi mida ya saa 10 usiku nilishtuka tumbo lilikua linanyonga sana huku haja kubwa ikawa inauma.nlipoenda uani nilijisaidia wakati huo tumbo lilikua bado linauma sana ..nlipotoka likawa linazidi ,....baada ya sekunde kadhaa nkajikuta nashtuka nkiwa chini nimelala na jasho zinatoka.
..baada ya hapo nkawa nko vizuri tu

ikato tokea tena mwaka jana... Hayo yote kipindi niko nyumbani
sasa leo pia nimeshtuka usingzini tumbo linauma saana nkaamka huku naenda chooni nkiwa naelekea huko gafla nkapoteza fahamu tena
nashtuka baada ya sekunde kadhaa nakuta npo chini na jasho linantoka,hakuna mpangaji mwenzangu alie niona .
sasa hi husababshwa na nini ila nkisha jisaidia basi
na haijawah tokea mchana mala nyingi asubuh ya sa kum adi saa1

#asant kwa mchango wako.
.
Jaribu kujichunguza vitu unavyokula na kunywa! Magonjwa yote ya tumbo husababishwa na kula au kunywa vibaya.
Jaribu kula vitu vinavyoruhusiwa tu ana aliyetuumba.
 
Sababu mbili kubwa ni
1. Vidonda vya tumbo.
2. Uvimbe tumboni.

Wewe fanya vipimo kwanza maisha yaendelee. Bila shaka utasema vidonda uliishawahi pima na huku umepima kipimo kimoja tu na vipo saizi ya 6 vyote vya vidonda.
Pole sana.
 
Back
Top Bottom