Wadau,jamani naumwa na tumbo sana tena chini ya kitovu,
Linavyouma ni kama nataka kubleed then linakata sana,lilianza jumamosi tarehe 14 ambapo nilitokwa na ute mwingi mpaka leo tarehe 17 ndo linaachia kwa mbaliii..nimeshindwa hata kwenda ofisini kwa jinsi lilivyokua linauma..naombeni msaada litakua tatizo gani?
NOTE:Nilianza period tarehe 1 june.