mhhhhhhhhh aseeee umesoma medicine ya wapi wewe ndio anatoka ute tena wa aina tofauti kwa kipindi tofauti!!Ahaaaa!!!!! Nmesma medcal lakni nilikuwa sjui kama mwanamke naye anatokaga ute akifikia kipindi flani-flani ahsante mkuu kwaku nfundisha hlo!!!
Mmh pole sana kwa maumivu but naomba nikuulize swali before ya kukusaidia je nikawaida kwako kila unapoingia kuumwa tumbo au ndo mara ya kwanza sasa kusikia maumivu..??Wadau,jamani naumwa na tumbo sana tena chini ya kitovu,
Linavyouma ni kama nataka kubleed then linakata sana,lilianza jumamosi tarehe 14 ambapo nilitokwa na ute mwingi mpaka leo tarehe 17 ndo linaachia kwa mbaliii..nimeshindwa hata kwenda ofisini kwa jinsi lilivyokua linauma..naombeni msaada litakua tatizo gani?
NOTE:Nilianza period tarehe 1 june.
Yaani hilo sio tatizo tukifuata tarehe hapo juu ni kwamba tarehe 14 hadi 17 ulikuwa ovulation na ute kutoka ni kawaida kabisa ndo inavotakiwa,sasa hapo kinachotakiwa ni mazoezi tu ya kawaida na kwa kipindi hiki ndo unaweza pata ujauzito.Yess wakati mwingine ute unakuwa mwingi ila unaweza ukavaa kwa kujistili na kuendelea na kazi kama kawaida.
Kwa kukushauri tu nenda Hospital ukajue tatizo ni nini coz sisi wanawake tunamaradhi mengi sana sana ya tumbo so huwezi jua kuwa tatizo ni lipi
Kuna Ugonjwa siujui unaitwaje kitaalamu na hiyo ni moja ya dalili zake,Ugonjwa huo wanao wasanii wakubwa sana ambapo umepelekea wao kutopata watoto maisha yao yote na wao wali-confess kupitia vyombo mbalimbali vya habari:-
1.Lady Jaydee
2.Angela Damas
3.Happines Magese