T taupe Member Joined Apr 9, 2011 Posts 5 Reaction score 0 Dec 11, 2013 #1 Mwanangu ana miezi miwili ila tumbo ina musumbua, katumia shubili ila bado ina uma na omba msada.
chaboo Member Joined Dec 11, 2013 Posts 78 Reaction score 26 Dec 11, 2013 #2 kubemenda mbemendee nyie, shida mtupe sisi, tunamambo yakufanya bhana na mengine ya chadema yanatumiza kichwa, mnatuchosha!!!!
kubemenda mbemendee nyie, shida mtupe sisi, tunamambo yakufanya bhana na mengine ya chadema yanatumiza kichwa, mnatuchosha!!!!
M Mkempia JF-Expert Member Joined Mar 5, 2013 Posts 1,142 Reaction score 459 Dec 11, 2013 #3 Hebu mpeleke hospitali akaangaliwe na daktari. Mtoto bado ni mdogo sana sio wa kupewa ushauri humu. Kingine unamtoa gesi baada ya kumnyonyesha?
Hebu mpeleke hospitali akaangaliwe na daktari. Mtoto bado ni mdogo sana sio wa kupewa ushauri humu. Kingine unamtoa gesi baada ya kumnyonyesha?
concious mind JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 1,003 Reaction score 617 Dec 11, 2013 #4 Kama wampenda mwanao nenda hospital aonwe na dr
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,687 Dec 11, 2013 #5 chaboo said: kubemenda mbemendee nyie, shida mtupe sisi, tunamambo yakufanya bhana na mengine ya chadema yanatumiza kichwa, mnatuchosha!!!! Click to expand... Sio lazima uchangie wewe.ka huna cha kuongea soma mawazo ya wenzako
chaboo said: kubemenda mbemendee nyie, shida mtupe sisi, tunamambo yakufanya bhana na mengine ya chadema yanatumiza kichwa, mnatuchosha!!!! Click to expand... Sio lazima uchangie wewe.ka huna cha kuongea soma mawazo ya wenzako
strong ruler JF-Expert Member Joined Nov 2, 2013 Posts 4,921 Reaction score 3,308 Dec 11, 2013 #6 Mcheki dokta tu
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,683 Dec 12, 2013 #8 Hilo tumbo linauma wakati gani?anasumbuliwa na hewa kwenye tumbo/kujamba?Anapata choo kama kawaida?