Habari zenu mimi naitwa Nickson Swai naombeni msaada wenu nna matatizo yafuatayo kwanza kupata choo ambacho kimevurugika(kuharisha),tumbo kuunguruma ,hamu ya kula usiku haipo na pia kila ninapolala usiku wakati mwengine tumbo kuunguruma mtu anahisi kwamba umechafua hali ya hewa mpaka mama mwenye nyumba anasema uende chooni wakati sijiskii