Tumbo kuunguruma

Sijali

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
2,672
Reaction score
1,814
Nini sababu ya tumbo kuunguruma kwa muda mrefu?
 
Ama inatokana na kutumia vitu vinavyojaza tumbo gesi, jitahidi kunywa maji na kula matunda
 
Ama inatokana na kutumia vitu vinavyojaza tumbo gesi, jitahidi kunywa maji na kula matunda

Asante, ila naona si hiyo sababu, maana nafanya hayo, pia ni mwangalifu sana wa diet yangu. Imenianza mara tu baada ya kutoka likizo Bongo!
 
Pima choo (stool) kwani tatizo inawezakuwa limesababishwa na giardia, minyoo au amoeba
 
Wahi kapime taifodi kabla hujafunga choo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…