Tumbo kuvuruga kwa mjamzito

MMOJA

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2012
Posts
445
Reaction score
259
Habari Wana JF,

Mke wangu ana ujauzito wa miezi mitatu hivi,

Mara nyingi anakua analalamika kua "tumbo linakua linavuruga",

Naombeni ushauri wadau labda je hii ni ishara ya kawaida tu kwa mjamzito, au ikiwa hivyo ni dalili kua kuna shida!!!???,

Naombeni ushauri wa awali juu ya hili,

Ahsante
 
Badal kwenda hospital unakuja kuomba ushauri jf

Mitandao imeharibu umakini wa maisha
 
sio kawaida,
Katika kipindi cha miezi mnne ya mwanzo ndio kipindi tunatakiwa kua makini sana na wake zetu sababu ndio kipindi cha mimba kutishia kutoka..
 
Anayo maradhi yanaitwa kwa kiingereza Morning sickness ugonjwa wa asubuhi mwambie achemshe chai ya tangawizi anywe atapona.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…